emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Huduma

Utengenezaji Mifumo ya TEHAMA

Mamlaka ya Serikali Mtandao inatengeneza mifumo mbalimbali ya habari na mifumo tumizi kukidhi mahitaji mbalimbali ya taasisi. e-GA inatengeneza mifumo kwa ajili ya utoaji wa huduma za simu za mkononi na mtandao zinazowezesha taasisi za umma kuanzisha na kutoa huduma za kimtandao kwa umma.

Huduma hizo ni kama vile utengenezaji wa mifumo tumizi na tovuti za taasisi za umma ambazo husanifiwa kwa kuzingati miongozo, viwango na taratibu.