Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) ni taasisi ya umma iliyoanzishwa kwa Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya mwaka 2019.
Tunaimarisha na Kuendeleza Utoaji wa Huduma za Serikali Mtandao kwa Taasisi za Umma
Kwa niaba ya Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), ninayo furaha kuwakaribisha kwenye tovuti yetu mpya
Kwa furaha, ninakukaribisha kwenye tovuti ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA). Kama Mwenyekiti wa Bodi hii, natambua juhudi, ari na nguvu kazi inayochochewa katika kufikia malengo.
Mamlaka kwa kushirikiana na Taasisi mbalimbali za Umma, imesanifu, kujenga na kusimamia mifumo na miundombinu mbalimbali ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma bora kwa umma
Mamlaka imesanifu na kutengeneza Tovuti mbalimbali za taasisi za umma kwa lengo la kuwezesha utoaji na upatikanaji wa taarifa na huduma mbalimbali za Serikali kwa wananchi.
Huduma zetu zimesanifiwa na kutengenezwa na watalamu wa ndani kwa lengo la kuandaa mazingira wezeshi kwa taasisi za umma kuweza kutoa huduma bora kupitia miundombinu salama na mifumo shirikishi ya pamoja.
Miongozo iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora au Miongozo ya Kisekta ya TEHAMA
Miongozo iliyoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao kwa lengo kutoa maelekezo ya kiufundi katika utekelezaji wa Jitihada za Serikali Mtandao
Violezo vya utengenezaji wa nyaraka za Uendeshaji na Usimamizi wa shughuli mbalimbali za TEHAMA
Issued by PO-PSMGG as well as sectorial e-Government Guidelines
Issued by e-GA, providing technical standards and guidelines.
Sample documents and templates to help Public Institutions
MWONGOZO WA MATUMIZI BORA, SAHIHI NA SALAMA WA VIFAA, DATA NA MIFUMO YA TEHAMA SERIKALINI.
Mwongozo huu ni maelekezo ya kiufundi kwa Taasisi za Umma na watumishi wa Serikali kufuata maagizo kuhusu matumizi ya TEHAMA na vifa vinavyohusiana.
Kiswahili
English
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Maneno madogo
Maneno ya kawaida
Meneno Makubwa