Mafunzo kwa ajili ya kupitia maboresho yaliyofanyika na moduli mpya zilizotengenezwa katika mfumo wa Dawati la Msaada (HelpDesk System) yamefanyika Dodoma,September 2024
e-GA yatoa Elimu matumizi ya Serikali Mtandao katika mkutano wa 3 wa Tathmini na Ufuatiliaji (The 3rd Tanzania Monitoring,Evaluation and Learning Conference)