Mafunzo ya siku sita (6) kwa Maafisa TEHAMA Wachambuzi wa Mifumo (Business Analysts) kutoka katika taasisi za umma 21, yamefungwa tarehe 25/11/2023 jijini Dodoma.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), wafanya ukaguzi wa ujenzi wa Makao Makuu ya Ofisi za e-GA eneo la Mtumba jijini Dodoma.