Mkurugenzi Mkuu Wa Mamlaka Ya Serikali Mtandao (e-GA) Mha. Benedict Ndomba, Akieleza Kuhusu Utekelezaji Wa Majukumu Ya Mamlaka Kwa Kipindi Cha Mwezi Machi Hadi Juni 2023
Ziara ya Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika Ofisi za Mamlaka ya Serikali Mtandao kituo cha Iringa tar. 17/02/2023