Wadau wa Serikali Mtandao Kukutana Arusha Februari 2026

Wadau wa Serikali Mtandao kutoka katika sekta mbalimbali ndani na nje ya nchi, wanatarajia kukutana jijini Arusha mapema mwezi Februari mwaka 2026 katika mkutano wa sita (6) wa Serikali Mtandao. Takribani wadau zaidi ya 1000 kutoka katika taasisi na mashirika mbalimbali ya umma nchini, pamoja na wageni kutoka nje ya Tanzania, wanatarajiwa kukutana katika mkutano huo utakaofanyika tarehe 10 hadi12 Februari, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ki...



