Waziri Mkuu azindua mfumo wa GoVESB

• Azitaka Taasisi zote za Umma kuijunga na Mfumo huo ifikapo Julai 30 • Asisitiza Taasisi za Umma kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais • Afurahishwa na faida za Mfumo huo kwa Serikali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa (Mb), ameziagiza taasisi za umma ambazo bado hazijajiunga na Mfumo wa Kuwasiliana na Kubadilishana Taarifa Serikal...