Bofya *152*00# kupata huduma za Serikali popote ulipo

Tumia Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi *152*00# kupata huduma mbalimbali za Serikali wakati wowote na mahali popote kiganjani mwako.Fuatilia zaidi

Tumia Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi *152*00# kupata huduma mbalimbali za Serikali wakati wowote na mahali popote kiganjani mwako.Fuatilia zaidi

Taasisi za umma nchini zimetakiwa kuzingatia kikamilifu Sheria ya Serikali Mtandao ya mwaka 2019 na Kanuni zake za mwaka 2020 katika kutekeleza jitihada za Serikali Mtandao mahala pa kazi. Hayo, yameelezwa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, ACP Ibrahim Mahumi kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Laurean Ndumbaro wakati akifungua mafunzo kwa Wakuu wa Id...

Taasisi za umma zimeaswa kuzingatia sera, sheria, kanuni, viwango na miongozo ya serikali mtandao wakati wa kusanifu, kujenga na kuendesha mifumo na miundombinu ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma.Hayo, yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Dkt. Jabiri Kuwe Bakari leo Septemba 25, 2020 jijini Dodoma mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu Sheria ya Serikali M...

Serikali kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) inafanya kazi kubwa kuhakikisha kuwa huduma za Serikali zinapatikana kidijitali kwa kutumia mifumo mbalimbali ya TEHAMA.e-GA ni taasisi ya umma iliyoanzishwa kwa Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya mwaka 2019 kwa lengo la kuratibu, kusimamia na kukuza jitihada za Serikali Mtandao pamoja na kuhimiza utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao kwa taasisi za umma....

Lengo la Sheria ya Serikali Mtandao ni kuhakikisha kwamba Serikali inapata thamani halisi kwenye uwekezaji wa TEHAMA kwa kuwa na utendaji kazi Serikalini ulioboreshwa, utoaji huduma bora kwa umma zinazopatikana kwa urahisi, haraka na kwa gharama nafuu mahali popote na kwa wakati wowote bila kufika ofisi husika. Tazama zaidi