Waziri Mchengerwa azionya taasisi za umma

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala Bora Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (mb) amezitaka taasisi za umma kuhakikisha kuwa watumishi wa umma walioajiriwa na kuaminiwa na Serikali wanasimamia utekelezaji wa Serikali Mtandao kwa kuzingatia Sheria na Kanuni za Serikali Mtandao zilizopo ili Serikali ipate tija na ufanisi unaotarajiwa ikiwemo kuongeza usalama wa mifumo na taarifa zilizomo.Hayo aliyasema leo wakati wa ziar...







