WAZIRI SIMBACHAWENE: GOVESB IMEBORESHA UTENDAJI NA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema ufanisi umeongezeka miongoni mwa taasisi zilizojiunga na kubadilishana taarifa kupitia mfumo unaowezesha mifumo ya Serikali kuwasiliana na kubadilishana taarifa yaani Governement Enterprise Service Bus (GovESB). Mhe. Simbachawene ameeleza hayo tarehe 20/05/2025 wakati akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya M...