Wadau wajadili Rasimu ya Matumizi Salama ya Teknolojia Zinazochipukia

Wadau wa Serikali Mtandao kutoka taasisi mbalimbali za umma wamekutana leo jijini Dodoma kujadili na kutoa maoni kuhusu rasimu ya Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao. Rasimu hiyo inalenga kuimarisha matumizi salama na yenye tija ya teknolojia zinazochipukia (emerging technologies) katika utoaji wa huduma za umma, sambamba na kuboresha usalama wa mifumo na taarifa za Serikali. Kikao kazi hicho cha siku mbili, kinachoendelea kuanzia Jula...



