e-GA YATOA ELIMU YA SERIKALI MTANDAO KWA VIZIWI

Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imetoa elimu ya matumizi ya Serikali Mtandao kwa viziwi wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Kimataifa ya Viziwi 2024, ambayo kitaifa yalifanyika mkoani Shinyanga Septemba hadi mwaka huu. Katika kongamano hilo, e-GA ilitoa elimu kuhusu Serikali Mtandao na namna inavyoweza kurahisisha upatikanaji wa huduma za Serikali kupitia mifumo mbalimbali ya TEHAMA kwa watu wenye mahitaji maalumu wakiwemo Viziwi. Moja ya...