MFUMO WA mGov 2.0 WABORESHWA KUONGEZA UFANISI ZAIDI

Kutokana na maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika karne hii ya 21, matumizi ya simu za mkononi yameendelea kuongozeka ambapo, kwa sasa simu zinatumika kwa matumizi mengine mengi zaidi na si kwa ajili ya mawasiliano pekee kama ilivyokuwa hapo awali.Pamoja na kuongezeka kwa aina mbalimbali ya matumizi hayo, lakini pia simu imekuwa ni kifaa na kiungo muhimu kati ya Serikali na wananchi kwani, simu hutumiwa na Serikali kuto...