WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA WATUMISHI WA e-GA KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuendelea kufanya kazi kwa ubunifu na uadilifu, ili kuhakikisha dhamira ya ujenzi wa Serikali Mtandao inatimia.Waziri Simbachawene ameyasema hayo jana baada ya kutembelea Ofisi za e-GA kituo cha Iringa na kufanya mazungumzo na watumishi wa kituo hicho.Amebainisha kuwa, dhamira ya Rais D...







