emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Sera ya Faragha


Mamlaka inachukulia faragha ya wateja na wanaotembelea tovuti yetu na watumiaji wa mifumo yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotembelea au kuwasiliana na tovuti yetu au wafanyakazi.