emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
Unaweza kupata taarifa mbalimbali za matukio, shughuli za maendeleo, mapato na matumizi ya Halmashauri, utekelezaji wa miradi ya maendeleo, matangazo ya kazi, zabuni, minada, n.k. Tovuti hizi za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa zimesanifiwa na kutengenezwa na e-GA kwa Kushirikiana na Ofisi ya Rais-TAMISEMI, taarifa zinasimamiwa na Sekretarieti ya Mkoa/ Halmashauri husika