KAMATI YA BODI YA UKAGUZI, VIHATARISHI NA UBORA YA e-GA YAFANYA KIKAO

Kamati ya Bodi ya Ukaguzi, Vihatarishi na Ubora ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), leo imefanya kikao cha kujadili utendaji kazi wa Vitengo vya Ukaguzi wa Ndani na Kitengo cha Usimamizi wa ubora na Vihatarishi vya TEHAMA kwa kipindi cha Julai - Septemba, 2023. Kamati imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa vitengo hivyo, kwa kufikia malengo kwa asilimia 100, pamoja na kutekeleza kwa wakati maagizo yanayotolewa na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamla...