RAIS WA ZAMBIA ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA e-GA

Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, ametembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) wakati wa Mkutano wa Serikali Dijitali Afrika (Africa Digital Government Conference), unaofanyika katika jiji la Lusaka nchini humo. Mhe. Hakainde amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Lt. Gen. Mathew Edward Mkingule,na kuona mifumo mbalimbali ya kielekroniki iliyojengwa na kusanifiwa na e-GA ukiwemo mfumo wa Ofisi Mtandao (e-O...







