HALMASHAURI 12 ZAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA e-BOARD-MOROGORO

Jumla ya watumishi 49 kutoka halmashauri 12, wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Kuratibu Vikao vya Bodi na Menejimenti (e-Board).Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Mamalaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) yamefanyika kuanzia Septemba 18 hadi 20 mwaka huu mjini Morogoro, na kuwahusisha Maafisa TEHAMA, Maafisa wanaohusika na kuratibu vikao vya Bodi, Me...