emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

Wakuu wa Vitengo na Idara za TEHAMA Serikalini, wametakiwa kuwashirikisha Wakaguzi wa Ndani wa taasisi, katika hatua za awali za ujenzi wa mifumo na miradi ya TEHAMA ili kuhakikisha inazingatia Sheria, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao. Wito huo umetolewa jana Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali kutoka Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw. Benjamin Magai, wakati wa kufunga mafunzo maalum kwa Wakaguzi wa Ndani wa taasisi na mashirika ya u...

Soma Zaidi

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Clement Sangu (Mb), ameitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi, ili kuongeza wigo wa ajira kwa vijana wabunifu kwenye eneo la TEHAMA. Mhe. Sangu ametoa rai hiyo hivi karibuni, wakati akifunga programu ya awamu ya tano ya mafunzo kwa vitendo (practical training) pamoja na mafunzo kazini (internship) kwa mwaka wa fedha 2...

Soma Zaidi

Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imeshiriki katika maadhimisho ya Wiki ya Kimataifa ya Viziwi 2024, ambayo Kitaifa yanafanyika mkoani Shinyanga.Katika maadhimisho hayo, e-GA imetoa elimu kwa kundi hilo kuhusu matumizi ya Serikali Mtandao na namna inavyoweza kurahisisha upatikanaji wa huduma za Serikali kwa watu wenye mahitaji maalumu.Moja ya mfumo uliowasilishwa ni Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu ya Mkononi (mGov), ambapo Mwananchi an...

Soma Zaidi

Wakaguzi wa Ndani katika taasisi na mashirika ya umma wametakiwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao katika ukaguzi wa miradi na mifumo ya TEHAMA ili kulinda thamani halisi ya fedha za Serikali katika miradi hiyo.Rai hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi anayeshughulikia Wizara, Idara zinazojitegemea na Mamlaka za Serikali, kutoka Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali (IAG) Bw. Pa...

Soma Zaidi

Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, imefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Serikali Mtandao (eGOVRIDC) cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na e-GA kuhusu namna ya kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili.Ziara hiyo ya Vodacom ililenga mambo muhimu matatu, ikiwemo kufahamu shughuli na jitihada mbalimbali za e-GA kwenye eneo la utafiti...

Soma Zaidi
Mpangilio