emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

Wadau wa Serikali Mtandao kutoka taasisi mbalimbali za umma wamekutana jijini ili kupitia na kujadili maboresho ya Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao, hatua inayolenga kuongeza tija, usalama na ufanisi katika utekelezaji wa jitihada za Serikali Mtandao nchini. Wadau hao wamekutana katika kikao kazi kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) ili kufanya mapitio ya pamoja, kutoa maoni kuhusu miongozo ya Serikali Mtandao, na kufan...

Soma Zaidi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete, ameitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuwajengea uwezo watumishi wake katika matumizi ya teknolojia zinazochipukia, ili kuhakikisha zinatumika kwa usalama na kuleta tija inayokusudia. Mhe. Ridhiwani ametoa rai hiyo Novemba 25 mwaka huu, alipozungumza na watumishi wa e-GA wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Ofisi za Mamlaka hiy...

Soma Zaidi

Maafisa waandamizi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), wametakiwa kuimarisha waadilifu na kuzingatia vipaumbele vya taasisi na Serikali, ili waweze kuwa viongozi bora wa sasa na baadaye. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa e-GA, Mhandisi Benedict Ndomba, wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uongozi yaliyofanyika hivi karibunimjini Morogoro. Ndomba alisema, mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo Maafisa wakuu na waandamizi wa Mamlaka h...

Soma Zaidi

Maafisa Habari Serikalini, wametakiwa kuzingatia weledi katika uandaaji na utoaji wa taarifa za Serikali kupitia tovuti za taasisi, ili kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi kuhusu shughuli na miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali kupitia tovuti hizo. Wito huo umetolewa Novemba 18 mwaka huu, na Mkurugenzi wa Huduma za Uwezeshaji wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), Bw. Erick Kalembo, wakati akifungua mafunzo ya Usimamizi na Uen...

Soma Zaidi

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict Ndomba, amewataka wajumbe wa Baraza kuendesha vikao vya Baraza kwa tija na ufanisi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo ya usimamizi na uendeshaji wa vikao hivyo. Ndomba amesema hayo Novemba 21 mwaka huu jijini Dodoma, wakati akifungua kikao cha tatu cha Baraza la tano (5) la Wafanyakazi wa Mamlaka, kilichofanyika sambamba na mafunzo ya uendeshaji wa baraza hilo. A...

Soma Zaidi
Mpangilio