UZINGATIAJI WA SHERIA, KANUNI, MIONGOZO NA VIWANGO

Serikali imetengeneza Sheria, Kanuni, Miongozo na Viwango vya utekelezaji wa Jitihada za Serikali Mtandao ili kuhakikisha kuwa, Taasisi za Umma zinatekeleza jitihada hizo katika viwango na ubora unaotakiwa.Miongozo hiyo hutoa maelekezo kwa Taasisi za Umma juu ya taratibu sahihi zinazotakiwa kufuatwa katika utekelezaji wa juhudi mbalimbali zinazohusu matumizi ya TEHAMA katika Taasisi za Umma. Meneja Udhibiti wa Viwango vya TEHAMA Bi. Sultana Seiff...







