KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAIPONGEZA e-GA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (USEMI) imeipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kwa kuendelea kusimamia na kubuni mifumo tumizi ya TEHAMA ambayo inarahisisha utendaji kazi wa Serikali katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi.Pongezi hizo zimetolewa leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, mara baada ya Mkurugenzi Mkuu wa e-GA Mhandisi Benedict Ndomba kuwasilisha mada kuhusu Usalama wa Serikali Mtandao mbele ya kam...







