Mamlaka ya Serikali Mtandao Yatekeleza Agizo la Rais

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama ameipongeza Mamlaka ya Serikali Matandao (eGA) kwa kutengeneza mfumo utakaowezesha mifumo mbalimbali ya Serikali kubadilishana taarifa, jambo hili ni hatua kubwa katika utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha mifumo ya TEHAMA ndani ya Serikali inawasiliana na kubadilishana taarifa wakat...







