Ufunguzi rasmi wa programu ya Mafunzo kwa Vitendo kwa mwaka 2025 Dodoma.

Programu ya Mafunzo kwa Vitendo inayoratibiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), kupitia Kituo chake cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Serikali Mtandao kwa mwaka 2025 imezinduliwa rasmi jijini Dodoma. Programu hiyo ya wiki 10 hutolewa kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu wanaosomea fani ya TEHAMA, ambapo jumla ya wanafunzi 57 wanaosoma fani hiyo kutoka katika Vyuo 13 vya ndani pamoja na chuo kimoja kutoka nje ya nchi, wanas...







