e-GA YATAKIWA KUWA KITOVU CHA UBUNIFU WA MIFUMO YA TEHAMA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Jenista Mhagama, ameitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuwa kioo na kitovu cha mifumo ya TEHAMA nchini.Mh. Jenista ametoa kauli hiyo leo katika ofisi za Bunge jijini Dodoma, mara baada ya Mkurugenzi Mkuu wa e-GA Mhandisi Benedict Ndomba kuwasilisha mada kuhusu Usalama wa Serikali Mtandao kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyolenga kuwajengea uwezo v...