WAZIRI MHE. JENISTA MHAGAMA AZINDUA MFUMO WA HCMIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama,amezindua mfumo wa Kielektroni wa Tathmini ya Hali ya Watumishi katika Utumishi wa umma (HCMIS) unaolenga kubaini mahitaji halisi ya watumishi kwenye Wizara na Taasisi za Umma.Wakati wa uzinduzi huo uliofanyika Machi 24,2022 jijini Dodoma Waziri Mhagama, amesema kuwa mfumo huo utawezesha ukusanyaji, uchakataji na uchambuzi wa taarifa za Watumishi k...