emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

Taasisi zote za Umma zatakiwa kujiunga na kutumia mfumo wa e-Mrejesho ili kuweza kutatua changamto mbalimbali zinazowakabili wananchi.Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Xavier Daudi wakati akifunga kikao kazi cha mafunzo ya mfumo wa e-Mrejesho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Oktoba4, 2024."Kabla ya mwezi huu Oktoba kuisha taasisi zote za Umma ambazo bado hazija...

Soma Zaidi

Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, ametembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) wakati wa Mkutano wa Serikali Dijitali Afrika (Africa Digital Government Conference), unaofanyika katika jiji la Lusaka nchini humo. Mhe. Hakainde amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Lt. Gen. Mathew Edward Mkingule,na kuona mifumo mbalimbali ya kielekroniki iliyojengwa na kusanifiwa na e-GA ukiwemo mfumo wa Ofisi Mtandao (e-O...

Soma Zaidi

Ushirikiano uliopo kati ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), umechangia kukua kwa matumizi ya Serikali Mtandao katika uendeshaji wa shughuli za bandari na utoaji wa huduma kwa wananchi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa TEHAMA wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Abdulatif Minhajj, hivi karibuni wakati alipofanya mahojiano maalum na mwandishi wetu kuhusu mchango wa e-GA katika...

Soma Zaidi

Serikali Mtandao ni matumizi ya TEHAMA katika utendaji wa kazi Serikalini na utoaji wa huduma kwa wananchi, dhamira kuu ya Serikali Mtandao ni kuongeza ufanisi wa utendaji kazi Serikalini na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora kwa urahisi na haraka zaidi mahali walipo. Ili kuhakikisha dhamira ya ujenzi sahihi wa Serikali Mtandao inafikiwa, Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10, Sura Na. 273 ya Mwaka 2019, inatoa muongozo wa namna bora ya mat...

Soma Zaidi

Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imetoa elimu ya matumizi ya Serikali Mtandao kwa viziwi wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Kimataifa ya Viziwi 2024, ambayo kitaifa yalifanyika mkoani Shinyanga Septemba hadi mwaka huu.Katika kongamano hilo, e-GA ilitoa elimu kuhusu Serikali Mtandao na namna inavyoweza kurahisisha upatikanaji wa huduma za Serikali kupitia mifumo mbalimbali ya TEHAMA kwa watu wenye mahitaji maalumu wakiwemo Viziwi.Moja ya mfumo ul...

Soma Zaidi
Mpangilio