MANISPAA YA TABORA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 160 KILA MWAKA KUPITIA MFUMO WA e-BOARD

Matumizi ya mfumo wa kuwezesha uratibu wa shughuli za uandaaji wa vikao mbalimbali vya bodi na menejimenti katika halmashauri na Taasisi za Umma (e-Board), yameiwezesha Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kuokoa zaidi ya shilingi milioni 160, zilizokuwa zikitumika katika ununuzi wa vifaa mbalimbali vya uchapishaji na uaandaaji wa muhtasari wa vikao kila mwaka.Hayo yamebainishwa hivi karibuni na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa hiyo B...







