WAKAGUZI WA NDANI WA HALMASHAURI WAPEWA MAFUNZO YA UKAGUZI WA MIFUMO YA TEHAMA

Mamlaka ya Serikali Mtandao e-GA imewataka Wakaguzi wa ndani wa Halmashauri na Tawala za Mikoa kuzingatia sheria na miongozo ya Serikali Mtandao, wakati wa ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Taasisi zao ili kupunguza hoja za ukaguzi.Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa e-GA Mhandisi. Benedict Ndomba, wakati wa Mafunzo ya siku tano (05) ya kuwajengea uwezo Wakaguzi wa Ndani wa halmashauri na Tawala za Mikoa ili waweze kukagua Mifumo ya TEHAM...







