eGA yapongezwa kwa ubunifu

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo ameipongeza Serikali kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kwa kubuni mifumo inayotatua kero za wananchi wakati wa kutoa huduma kwenye taasisi za umma na kuwapa fursa ya kujibiwa kero zao hapo kwa papo.Mhe. Chaurembo ameyasema hayo hivi karibu katika kikao kazi cha Kamati yake na Uongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...







