emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

Tanzania kupitia Mfumo wa e-Mrejesho toleo la pili (e-MrejeshoV2) imeibuka mshindi katika kipengele cha Serikali Mtandao, kwenyeTuzo za Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya TEHAMA mwaka 2025 (World Summit on the Information Society -WSIS 2025). Utoaji wa tuzo za WSIS umefanyika Julai 7 katika mkutano wa Tukio la Ngazi ya Juu la Jukwaa la WSIS+20 (WSIS+20 Forum High-Level Event), unaofanyika mjini Geneva USWIS kuanzia tarehe 7 hadi 11 Julai mwaka huu...

Soma Zaidi

•    Azitaka Taasisi zote za Umma kuijunga na Mfumo huo ifikapo Julai 30 •    Asisitiza  Taasisi za Umma kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais •    Afurahishwa na faida za Mfumo huo kwa Serikali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa (Mb), ameziagiza taasisi za umma ambazo bado hazijajiunga na Mfumo wa  Kuwasiliana na Kubadilishana Taarifa Serikal...

Soma Zaidi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (Mb), ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa usimamizi mzuri wa taasisi hiyo. Mhe. Waziri ameyasema hayo Mei 20, mwaka huu wakati alipofanya kikao kazi maalum na bodi hiyo katika ofisi za e-GA Mtumba jijini Dodoma. Aliongeza kuwa, usimamizi makini wa bodi hiyo umeiwezesha e-GA kutekeleza majukumu y...

Soma Zaidi

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani mwaka 2025, Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imetoa msaada wa vifaa tiba na mahitaji muhimu kwa wajawazito na akina mama waliojifungua, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General) na Hospitali ya Mbagala ya jijini Dar es Salaam. Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo, Meneja Mawasiliano wa e-GA Bi. Subira Kaswaga alisema, e-GA inatambua umuhimu wa kumuwezesha mwanamke mwenye uhitaji i...

Soma Zaidi

Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imemtangaza Afisa TEHAMA Bw. Obed Makombe kuwa mfanyakazi bora wa Mamlaka kwa mwaka wa fedha 2024/2025 huku uwajibikaji na weledi vikitajwa kuwa msingi mkuu wa ushindi huo. Uchaguzi wa mfanyakazi bora wa Mamlaka ulifanyika Februari 26, mwaka huu, baada ya kuwashindanisha wafanyakazi bora 10 kutoka katika idara na vitengo, na kisha Menejimenti kupiga kura ili kumpata mfanyakazi bora wa Mamlaka kwa mwaka wa fe...

Soma Zaidi
Mpangilio