e-Office yaongeza ufanisi TPA, NHIF, COSTECH, Mifugo, Uchukuzi na Nyaraka.

Mfumo wa Ofisi Mtandao (e-Office) unaongeza ufanisi wa kazi na kupunguza matumizi ya karatasi TPA, NHIF, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano na Ofisi ya Rais - Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa.Bofya hapa kwa taarifa zaidi