emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO/IEC 27001:2022 | ISO 9001: 2015
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama amewataka wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo kutumia fursa waliyoipata vizuri kwa kuwa wabunifu, waadilifu na wazalendo kwa kubuni mifumo ya kimkakati itakayosaidia Serikali kutatua changamoto mbalimbali katika jamii.Mhe. Waziri amesema hayo tarehe Agosti 10, 2022 wakati alipotembelea Ofisi za Mamlaka ya Serikali Mtandao katika kituo cha Utafi...

Soma Zaidi

Meneja wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) ACP. Raphael Rutaihwa amehimiza Vitengo vya TEHAMA Serikalini kufuata Sheria, Kanuni, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao ili kujenga mifumo bora na yenye tija.ACP. Rutaihwa amesema hayo wakati akitoa elimu kwa umma kuhusu Sheria ya Serikali Mtandao namba 10 ya mwaka 2019 na kanuni zake.“Ni vyema kila taasisi ya umma kuhakikisha inafuata Sheria, Kanuni, Viwango na Mio...

Soma Zaidi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama,amezindua mfumo wa Kielektroni wa Tathmini ya Hali ya Watumishi katika Utumishi wa umma (HCMIS) unaolenga kubaini mahitaji halisi ya watumishi kwenye Wizara na Taasisi za Umma.Wakati wa uzinduzi huo uliofanyika Machi 24,2022 jijini Dodoma Waziri Mhagama, amesema kuwa mfumo huo utawezesha ukusanyaji, uchakataji na uchambuzi wa taarifa za Watumishi k...

Soma Zaidi

Serikali imesema imejipanga kuboresha mifumo ya TEHAMA Serikalini ili kuhakikisha uwajibikaji na utendaji kazi wa Serikali unaimarika na kuwa haitosita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayetaka kuchezea mifumo hiyo.Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama wakati akielezea mafanikio ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 16, 2022 Jijini Dodoma.Waziri huyo amesema...

Soma Zaidi

Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Hussein Katanga amefungua mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusu uchumi wa kidijitali. Mafunzo hayo yanafanyika kwenye ukumbi wa Marijani Hoteli iliyopo eneo la Pwani ya Kichangani, Zanzibar kwa muda wa siku nne kuanzia tarehe 8 Machi, 2022 hadi tarehe 11 Machi, 2022.Mheshimiwa...

Soma Zaidi
Mpangilio