Tumieni Wataalamu wa Ndani Kutengeneza Mifumo-Mhandisi Fumbe

Taasisi za Umma nchini wametakiwa kutumia wataalamu wa ndani katika kubuni, kusanifu na kutengeneza mifumo itakayorahisiha utendaji kazi na utoaji huduma kwa umma ili kuleta manufaa kwa Taifa.Hayo, yameelezwa na Mhandisi, Jeremia Fumbe kutoka Wizara ya Maji Idara ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, wakati wa mafunzo ya namna ya kuutumia mfumo mpya wa pamoja wa utoaji Ankara za Maji (Maji intergrated a...







