Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
Bunge Mtandao wasaidia Bunge kipindi cha Covid-19
10th Jul 2020
Mfumo wa Bunge mtandao umesaidia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniawakati wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (Covid-19) kwa kuepuka kusambaa kwa virusi vya CORONA kwa wabunge na watumishi wa Bunge.