emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

NHIF, DUWASA, TALIRI na MCT zanufaika na *152*00#

26th Jun 2020

NHIF, DUWASA, TALIRI na MCT zanufaika na matumizi ya mfumo wa mGov unaorahisisha mawasiliano na wadau wa karibu wa Taasisi hizo kwa kutumia ujumbe mfupi wa simu ya mkononi (SMS)