Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
Sera ya Faragha
Wakala inachukulia faragha ya wateja na wanaotembelea tovuti yetu na watumiaji wa mifumo yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotemjbelea au kuwasiliana na tovuti yetu au wafanyakazi.