emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Angalizo


Tunauza huduma zinazotolewa kupitia nyenzo mbalimbali za umma na binafsi, baadhi yake ziko nje ya udhibiti wetu. Hivyo, Wakala haitahusika na kuhakikisha ubora wa huduma kwa nyenz ambazo ziko nje ya udhibiti wake wala haitahusika na kuhakikisha huduma ulizolipia kuwa zitakuwa kamilifu/zinafanyakazi na kupatikana 100% ya muda wake na haiwajibiki kwa hasara yoyote itokeapo mfumo utashindwa kutoa kufanya kazi.