emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Uzinduzi wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Julai 12, 2012

16th Apr 2020

Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibofya kitufe kuzindua Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam Julai 12, 2012

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Wakala a Serikali Mtandao(eGA) Dkt.Jabiri Kuwe Bakari akimwelezea aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue kuhusu Mpango Mkakati wa Wakala baada ya uzinduzi Julai 12, 2012