17th Apr 2020

Dkt. Jabiri Bakari akiwasilisha mada ya wajibu wa maofisa mawasiliano Serikalini (hawapo pichani) katika kuhuisha taarifa kwenye tovuti zao, Machi 14, 2016

Mtendaji Mkuu wa eGA Dkt. Jabiri Bakari ( wa kwanza kulia) kwenye picha ya pamoja na watendaji Serikalini. Wanne kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Nape Nnauye, Machi 14, 2016