Aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda akibofya kitufe kuzindua Tovuti Kuu ya Tanzania Novemba 29, 2013
Aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda akishangilia baada ya kubofya kitufe kuashirik=a uzinduzi wa Tovuti Kuu ya Serikali Novemba 29, 2013