emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Ufunguzi wa mafunzo ya TEHAMA DODOMA

17th Apr 2020

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akifungua mafunzo ya TEHAMA kwa maofisa wa serikali katika kituo cha UCC Dodoma, ufunguzi huo uliunganishwa kwa video conference na kituo cha Dar es salaam.

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo