emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Mkutano na Wandishi wa Habari October 20, 2016

17th Apr 2020

Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa eGA Bi. Suzan Mshakangoto akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Mkutano na Vyombo vya habari uliofanyika katika ofisi za eGA 20.10.2016

Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa eGA Bi. Suzan Mshakangoto akiongea na waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Vyombo vya habari uliofanyika katika ofisi za eGA 20.10.2016

Maoni