emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Wiki ya Utumishi wa Umma

16th Apr 2020

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari akifafanua jambo kwa aliyekuw Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati wa maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Juni22, 2015.

Aliyekuwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Wakala ya Serikali Mtandao wakati wa maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 2015.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt.Jabiri Bakari baada ya kupokea cheti cha taasisi inayosimamiwa vizuri kutoka kwa Rais wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakati wa sherehe za kufunga maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam Juni 23, 2015