emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Kikao Kazi cha Kwanza cha Serikali Mtandao Agosti 17-20, 2015

17th Apr 2020

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa Kikao kazi cha Kwanza cha Serikali Mtandao Arusha

Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florence Turuka akisikiliza mada wakati wa Kikao Kazi cha Kwanza cha SSerikali Mtandao Arusha

Dkt. Rajendra Kumar kutoka India akisisitiza jambo wakati wa Kikao Kazi cha Kwanza cha Serikali Mtandao Arusha

Bw. Tang Kim Leng kutoka Singapore akiwa na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Huduma za Serikali Mtandao Bw. Michael Moshiro wakimsikiliza mtoa mada (hayupo pichani) wakati wa Kikao Kazi cha Serikali Mtandao Arusha

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Huduma za TEHAMA -eGA Eng. Benedict Ndomba akichangia mada iliyowasilishwa kwenye Kikao Kazi cha Kwanza cha Serikali Mtandao Arusha