emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Ziara ya Msemaji Mkuu wa Serikali -eGA HQ-DODOMA

20th Apr 2020

z

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akisaini katika kitabu cha wageni alipotembelea Makao Makuu ya Wakala yaliyopo Mji wa Serikali Dodoma Agosti 28, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari akimwelezea Msemaji Mkuu wa Serikalia Dkt. Hassan Abbasi kuhusu utekelezaji wa Serikali Mtandao nchini Agosti 28, 2019 katika Makao Makuu ya Wakala Dodoma

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari alipotembelea Ofisi za Wakala Agosti 28, 2019 ili kufahamu masuala mbalimbali ya Teknolijia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)