emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Serikali na Wananchi (G2C)

Sehemu hii inahusu uhusiano baina ya Serikali na Wananchi. Lengo la G2C ni kuwawezesha wananchi kupata taarifa na huduma kwa njia ya mtandao kupitia mifumo mbalimbali.