emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
  • 1
  • 2
Kikao Kazi Cha 4 cha Serikali Mtandao 2024

Kikao Kazi Cha 4 cha Serikali Mtandao 2024

2024-02-06 To 2024-02-08 | Venue | AICC - ARUSHA

Kikao Kazi Cha 4 cha Serikali Mtandao 2024

Kaulimbiu

Kuhakikisha uzingatiwaji wa Sera, Sheria, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao kwa ubadilishanaji salama wa Taarifa

Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidi
Kikao Kazi Cha 3 cha Serikali Mtandao 2023

Kikao Kazi Cha 3 cha Serikali Mtandao 2023

2023-02-08 To 2023-02-10 | Venue | AICC - ARUSHA

Kikao Kazi Cha 3 cha Serikali Mtandao 2023​

Kaulimbiu

Mifumo Jumuishi ya TEHAMA kwa Utoaji Bora wa Huduma kwa Umma

Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidi
Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara/Vitengo vya TEHAMA wa Taasisi za Umma

Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara/Vitengo vya TEHAMA wa Taasisi za Umma

2022-04-28 To 2022-04-29 | Venue | UDOM

Mamlaka ya Serikali Mtandao iliandaa Kikao Kazi kwa ajili ya Wakuu wa Idara/Vitengo vya TEHAMA kutoka Taasisi za Umma kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano uliopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuanzia tarehe 28 na 29 Aprili, 2022.

Kaulimbiu

Serikali Kidijitali

Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidi
Kikao Kazi cha 2 cha Serikali Mtandao 2019

Kikao Kazi cha 2 cha Serikali Mtandao 2019

2019-01-30 To 2019-02-02 | Venue | UDOM - Dodoma

Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) iliandaa Kikao Kazi cha pili cha Serikali Mtandao kilichofanyika Januari 30 hadi Februari 2, 2019 katika ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano uliopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuonesha jitihada mbalimbali za Serikali Mtandao zilizofanyika, zinazoendelea na zilizopangwa kufanyika ndani ya Serikali, changamoto na fursa zilizopo na kuzitatua. Katika kikao hicho wadau wa serikali mtandao walibadilishana uzoefu, kujadili njia mbalimbali na kutatua changamoto na kuwa na uelewa wa pamoja kuhusu serikali mtandao.

Kaulimbiu

Uwianishaji wa Rasilimali za TEHAMA kwa Maendeleo ya Viwanda

Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidi
Kikao Kazi cha 1 cha Serikali Mtandao 2015

Kikao Kazi cha 1 cha Serikali Mtandao 2015

2015-09-17 To 2015-09-20 | Venue | Arusha AICC, Tanzania

Wakala ya Serikali Mtandao chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora iliandaa Kikao Kazi cha Kwanza cha Serikali Mtandao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano (AICC) Jijini Arusha kuanzia tarehe 17 - 20 Agosti, 2015.

Kaulimbiu

Uwianishaji wa Rasilimali za TEHAMA kwa Utoaji Bora wa Huduma kwa Umma

Ratiba Wadhamini Wazungumzaji Wakuu Soma zaidi