emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Serikali na Watumishi (G2E)

Sehemu hii inahusu uhusiano baina ya Serikali na Watumishi. Lengo la G2E ni kuwawezesha watumishi kupata taarifa na huduma kwa njia ya mtandao kupitia mifumo mbalimbali.